Komandoo wa Iran wateka meli ya UAE iliyokuwa inapeleka Mafuta Israel

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,837
37,525
Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
⚡️BREAKING

Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..

Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah

IMG_20240722_225155.jpg
IMG_20240722_230045.jpg
 
Wajinga acheni ujinga Nchi zenu zitageuzwa Majivu watu wana mabomu makubwa sana.. Hasara watapata kubwa mno sometime kuna wakati wanajiona wako sawa wakati hata sindano nchi zao haziwezi kutengeneza... wana import tu.. Israel ikiamua kuwawekea siege Yemen watapata shida and Iran ananuna ugomvi anaowasakizia waarabu wajinga wajinga.. Yetu macho.

And Bila Kusahau News Ikiletwa na Fanatic Muslim.. wana JF itilieni Shaka lazima itakuwa imejaa Uongo... i can prove it to the below Source.

Iran’s Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Navy has confiscated a tanker carrying a huge amount of smuggled fuel in the Persian Gulf waters.
All 12 crew members with Indian and Sri Lankan nationalities were also arrested.
The second naval zone of the IRGC said in a statement on Monday that the vessel with the flag of Togo was carrying over 1.5 million liters of smuggled fuel.
The Belt Guse tanker was seized off the coast of the southern port city of Bushehr. It was smuggling fuel in an “organized way.”
Late in January, the IRGC Navy also confiscated a foreign tanker carrying two million liters of smuggled fuel in the southern waters.
Iran’s IRGC seizes foreign vessel transporting smuggled fuel

The vessel was seized in accordance with a court order off the coast of the southern port city of Bushehr.
The IRGC Navy has been using state-of-the-art detection tools over recent years to monitor all movements in the Persian Gulf and maintain the security of the marine route.
It has over the past years foiled several attacks on both Iranian and foreign tankers in the strategic Persian Gulf region and other high seas.

Hizi Meli zipo miaka yote even Iran anazo meli kama hizi za magendo kazitumia sana alipowekewa vikwazo kuuza mafuta yake
 
Yemen wamejitoa mbuz kafara ,ngoja Israel ashushe mzigo hapo tuisahau Yemen nzima hawafikirii uzito wa maamuz yao , ukilipua kisima inamaana umewakata upepo kinachobakia ni Israel kufa mdg mdg nan mjinga wa kusubir afe kijinga wkt kibindon ana mzigo wa maana
Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
⚡️BREAKING

Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..

Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah

View attachment 3049515
 
Wajinga acheni ujinga Nchi zenu zitageuzwa Majivu watu wana mabomu makubwa sana.. Hasara watapata kubwa mno sometime kuna wakati wanajiona wako sawa wakati hata sindano nchi zao haziwezi kutengeneza... wana import tu.. Israel ikiamua kuwawekea siege Yemen watapata shida and Iran ananuna ugomvi anaowasakizia waarabu wajinga wajinga.. Yetu macho.

And Bila Kusahau News Ikiletwa na Fanatic Muslim.. wana JF itilieni Shaka lazima itakuwa imejaa Uongo... i can prove it to the below Source.

Iran’s Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Navy has confiscated a tanker carrying a huge amount of smuggled fuel in the Persian Gulf waters.
All 12 crew members with Indian and Sri Lankan nationalities were also arrested.
The second naval zone of the IRGC said in a statement on Monday that the vessel with the flag of Togo was carrying over 1.5 million liters of smuggled fuel.
The Belt Guse tanker was seized off the coast of the southern port city of Bushehr. It was smuggling fuel in an “organized way.”
Late in January, the IRGC Navy also confiscated a foreign tanker carrying two million liters of smuggled fuel in the southern waters.
Iran’s IRGC seizes foreign vessel transporting smuggled fuel
Iran’s IRGC seizes foreign vessel transporting smuggled fuel
The vessel was seized in accordance with a court order off the coast of the southern port city of Bushehr.
The IRGC Navy has been using state-of-the-art detection tools over recent years to monitor all movements in the Persian Gulf and maintain the security of the marine route.
It has over the past years foiled several attacks on both Iranian and foreign tankers in the strategic Persian Gulf region and other high seas.

Hizi Meli zipo miaka yote even Iran anazo meli kama hizi za magendo kazitumia sana alipowekewa vikwazo kuuza mafuta yake
Hawa hawa wanaohangaika na hezbollah miaka na miaka ndio waigeuze nchi majivu?
Kwani nani hana mabomu kwa dunia ya sasa? Punguzeni kuangalia movie zinawaharibu, hujui kwamba chakula tu israel ana import kutoka turkey? Sasa hivi kashikika drones zimekuwa modified zinapita hadi tel aviv , na kama ulikuwa hujui hata israel 70% ya silaha ana import hatengenezi mwenyewe
 
Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
⚡️BREAKING

Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..

Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah

View attachment 3049515View attachment 3049520
Link?
 
Back
Top Bottom