KODI ZA REDIO STATION

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,776
2,038
Hawa wamiliki wa redio wanamake money sana tena ktoka kwa wananchi.eg ukituma ujumbe ili usomwe hewan unakatwa sh.150,kwamaana hiyo unanunua huduma,ila cha kusikitisha redio presenter anaweza kusoma txt 5 tu anasema mda umemtupa mkono,Kwamaana nyingine amekuwa amewaibia wasikilizaji.JE WANALIPA KODI?
 
Serikali huwa inakata kodi yake moja kwa moja wakati wa utumaji wa hiyo sms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…