MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 613
kama sikosei mwanzo vifaa va kilimo kama matrekta yalikua yakiingizwa nchini kwa kodi ndogo ili kuhamasisha SEKTA hii, vile vile kodi ya ROAD LECENCE haikuwepo kwenye matrekta, mashine za kusaga nafaka, umwagiliaji na majenereta. Sasa hivi tangu kodi ya ROAD LECENCE kuhamishiwa kwenye mafuta, wakulima nao wakajikuta wamo (kwenye nyongeza sh:40 kwa lita) ni bora serikali ifikirie upya kuhusu hili, la sivyo tozo hili linaweza likadhoofisha mikakati ya KILIMO KWANZA