Vitu vingine vinatia aibu, maana vinareflect IQ vya yule anaevifanya, je, ndio tuseme watunga sera wa TRA wana IQ ndogo? Kodi ya majengo kwa nyumba ya chini ni shs.10,000/= tu, lakini gharama ya pesa + muda + usumbufu + phychological stress ya kuilipa hiyo shs.10k si chini ya sh.50k; sasa je...