Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,447
- 3,760
Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Inadaiwa kuwa Lagrouni hajasafiri kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mazoezi na programu za kocha mpya, Sead Ramovic.
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, amesema kuwa hana mpango wa kumfuta kazi Taibi Lagrouni na anataka kocha huyo kubaki ndani ya timu. Lagrouni mwenyewe ameonyesha kutoridhishwa na utofauti wa upangaji wa mazoezi, jambo ambalo linaweza kudhoofisha ufanisi wa wachezaji katika michuano mikubwa.
PIA SOMA
- Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha
PIA SOMA
- Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha