Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,830
- 103,837
Kocha wa Mamelodi Sundowns ametoa la moyoni kwenye media za South Africa akielezea kusikitishwa kwake Kwa timu Yao kukosa support ya mashabiki mpaka kufikia wanachukua ubingwa wa PSL last season uwanja ukiwa empty.
Katika Kile kinachoonekana dhahiri Leo tena Mamelodi wanacheza kama hawapo nyumbani maana mashabiki wengi wa Johannesburg hawataweza kwenda kuisupport Mamelodi Kwa sababu South Africa Saa 4 usiku hakuna train wala tax (daladala South Africa zinaitwa tax).
Hivyo mashabiki wengi wa Johannesburg wanasikitika hawataweza kwenda Pretoria kuipa sapoti timu.
Watu wa Pretoria in dhahiri si watu wa Mpira hawaendi uwanjani mpaka kufikia kubatizwa Jina la utani 57 FC, Yani wana mashabiki 57 tu.
Mamelodi wameshauriwa next time game kubwa wazipeleke Cape town wakapate full support.