Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,161
- 6,312
Wachang'ombe wa mchongo tunataka mzidi kuleta polimilai zenu dhidi ya Simba sc ila jueni Wydad anakwenda kupasuka nyumbani kwao.
Kitu special ni kuwa kawakanda bao mbili hata siku saba za fungate hazijaisha au ushajizima dataAlichokifanya sio kipya itakuwa kipya kama itamtoa Wydad. Kwenye mechi za robo fainali Simba hajafungwa na timu yoyote ila hutolewa mechi za ugenini. Je kipi special mpaka sasa kwa huyo Robertinho ilihali bado mechi ya marudiano?
usibishane nao mkuu wenye akili ni wawili tu pale na manara jr kidooogo.Kitu special ni kuwa kawakanda bao mbili hata siku saba za fungate hazijaisha au ushajizima data
Kumbe simba haijawahi kumfunga Yanga goli 1+ wewe kweli shabiki hamnazoKitu special ni kuwa kawakanda bao mbili hata siku saba za fungate hazijaisha au ushajizima data
ha ha ha ha tusubiri kiamaWachang'ombe wa mchongo tunataka mzidi kuleta polimilai zenu dhidi ya Simba sc ila jueni Wydad anakwenda kupasuka nyumbani kwao.
huyo wa kwanza kashaanzisha uzi wake wa kijifurahisha
mbona unaandika kwa presha sana!Alichokifanya sio kipya itakuwa kipya kama itamtoa Wydad. Kwenye mechi za robo fainali Simba hajafungwa na timu yoyote ila hutolewa mechi za ugenini. Je kipi special mpaka sasa kwa huyo Robertinho ilihali bado mechi ya marudiano?
Sijaandika kwa presha, sijaona kigeni mpaka sasa kwasababu hayo yote Simba kaishayafanya misimu ya nyuma. Kama kumfunga bingwa mtetezi basi Simba ilishamfunga Al Ahly uwanja huu huu. Kama kushinda nyumbani kwenye robo fainali, Simba imeshinda karibia mechi zote ukiachana na mechi ya Tp Mazembe.mbona unaandika kwa presha sana!
Na kwenye mpira kila kila kitu kinawezekanaHii ndio raha ya kuwa shabiki, shabiki hana tofauti na mfia dini. Yeye anaamini kila kitu kinawezekana...
Time will tell.
Hamfiki popote nyieKitu special ni kuwa kawakanda bao mbili hata siku saba za fungate hazijaisha au ushajizima data
Mmeweka heshima hapo kwa Mkapa, huko Morocco hakika yanayokuja yanachekesha😁Na kwenye mpira kila kila kitu kinawezekana