Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 536
- 1,265
Hila hizi timu zetu za bongo zinachekesha sana.
Kocha anakumbukwa kwenye shida lakini rekodi zake ni kubwa Minziro ameaminika kwenye kikosi cha Pamba Jiji FC baada kuachana na bwana Goran Kopunovic. Ila Kocha Minziro onyesha kila ulichonacho wakuheshimu na waacha dharau za kijinga.
================
Klabu ya Pamba Jiji Fc imethibitisha kumteua kocha Fred Felix ‘Minziro’ kuwa Kocha Mkuu akichukua mikoba ya Goran Kopunovic aliyetupiwa virago Oktoba 16, 2024.
Taarifa ya leo Oktoba 17, 2024 iliyotolewa na Kaimu C.E.Ο kwa klabu hiyo, Ezekiel Ntibikeha imebainisha kuwa Minziro atashirikiana na Kocha msaidizi Mathias Wandiba.
Soma Pia: Pamba Jiji wavunja Mkataba na Kocha wao Goran Kopunovic
“Uongozi wa Pamba Jiji Fc unawatakia kila la kheri katika kipindi hiki cha kazi yao mpya, huku wanamwanza wakiwa na matumaini kibao ya kuiona Pamba Jiji ikifanya vizuri Ligi Kuu.” — imesema taarifa hiyo.