Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Nimefurahishwa na hili la kuleta timu hii Tanzania...apart from having a better stadium, they are also better at playing soccer than us....hapa kwetu wangetutia aibu kwanza kwa stadium tena wafungwe magoli 10 kwa bila...Hongera Sportpesa...decision nzuri
maendeleo mazuri....naona EAC inakwenda kwa kasi nzuriEverton will play against the winner of Sportpesa Super Cup. The tournament will be contested by eight teams from Tanzania and Kenya.
Teams that will fight it out for the Sh3 million winners’ purse includes Kenyan arch-rivals Gor Mahia and AFC Leopards.
The other Kenyan sides are Kenyan Premier League (KPL) champions Tusker and Nakuru All Stars.
Tanzanian sides include; Vodacom champions Yanga SC and their rivals Simba SC, Singida and Jang’ombe from Zanzibar have also been drawn in the fiercest fixtures pitting regional giants and foes.
Hata ikicheza, italeta kikosi cha tatu, au wachezaji waliostaafu, no first eleven
kweli...Hata ikicheza, italeta kikosi cha tatu, au wachezaji waliostaafu, no first eleven
Arsenal iidhamini mara ngapi hii company ni ya Liverpool UK hawana pesa za kudhamini sofapaka peke yao
sasa ningependa waanze ku sponsor tim kbwa kubwa kama vile Arsenal...haitakuwa rahisi ila pale ndio kuna pesa...
Kenya kwa sasa inakosa mvuto.Hii habari niliiona tokea juzi ila nilikaa nione reaction huku, my findings ni kwamba sisi Watanzania ni watu tupo cool sana wala hatujaja kujidai na kujiproud kuhusu ujio wa Everton just imagine kama ingekua wanaenda Kenya???? View attachment 515384K
Kingine cha kushangaa ni kwamba wanaosema sportspesa ni yao, sportspesa inedhamini team moja for all that time lakini Tanzania haina hata mwezi wamedhamini team tatu kwa mabilioni ya pesa
Sportspesa walikosea sana kuweka hq zao Kenya especially kwa Mambo ya soccer labda ingekua riadhaKenya kwa sasa inakosa mvuto.
Siku za usoni watabadili.Sportspesa walikosea sana kuweka hq zao Kenya especially kwa Mambo ya soccer labda ingekua riadha
wakenya ni wakenya na watanzania ni watanzania...hatuwezi tukafanana kamwe...wala hatuexpect watanzania muwe kama wakenya nasi hatuna nia ya kuwa kama watanzania...kama uliona habari hii hata wiki iliopita basi swadakta...sioni shida hapo...Hongera Sportpesa!!!Hii habari niliiona tokea juzi ila nilikaa nione reaction huku, my findings ni kwamba sisi Watanzania ni watu tupo cool sana wala hatujaja kujidai na kujiproud kuhusu ujio wa Everton just imagine kama ingekua wanaenda Kenya???? View attachment 515384K
Kingine cha kushangaa ni kwamba wanaosema sportspesa ni yao, sportspesa inedhamini team moja for all that time lakini Tanzania haina hata mwezi wamedhamini team tatu kwa mabilioni ya pesa
A simple research would have shown you that Sportspesa sponsors the National rugby team, Gor mahia, AFC leopards, Kenya Harlequin, the National league na zingine ndogoHii habari niliiona tokea juzi ila nilikaa nione reaction huku, my findings ni kwamba sisi Watanzania ni watu tupo cool sana wala hatujaja kujidai na kujiproud kuhusu ujio wa Everton just imagine kama ingekua wanaenda Kenya???? View attachment 515384K
Kingine cha kushangaa ni kwamba wanaosema sportspesa ni yao, sportspesa inedhamini team moja for all that time lakini Tanzania haina hata mwezi wamedhamini team tatu kwa mabilioni ya pesa
The company was incorporated in Kenya 4 years ago and has gained immense success.The owner and CEO, Captain Ronald Karauri, resigned from Kenya Airways to start the company alongside a host of other like minded millionaires. Until his resignation, Karauri was a Captain,earning over Ksh 600,000 per month at KQ.
Apart form Captain Karauri,there are other share holders,both Kenyans and foreigners. Guerassim Nikolov,a Bulgarian who started Toto 6/49 owns about 10 % of the company.Also in the list is another Bulgarian,Ivan Kalpakchiev,who owns more than 7 % of the company.
Francis Waweru Kiarie and Robert Kenneth Wanyoike Macharia own 10 % of the company while businessman Paul Wanderi Ndung’u and Asenath Wachera Maina own more than 30 % stake at the company.