Klabu ya Simba yang'ara tuzo za mwezi Agosti Ligi Kuu ya NBC

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
610
1,525
Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu.

1725279794016.png
Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo akiwashinda Patrick Aussems wa Singida Black Stars na Abdallah Mohamed wa Mashujaa katika kinyang'anyiro hicho.

Simba ilishinda 3-0 dhidi ya Tabora United na 4-0 dhidi ya Fountain Gate.Kwa upande wake, Fadlu aliAliiongoza Simba kupata alama sita kutoka michezo miwili, ikifunga jumla ya mabao saba bila kuruhusu bao lolote, hivyo kuipandisha timu hiyo kileleni mwa msimamo wa ligi.
1725279961209.png
Aidha, Kamati ya Tuzo imemchagua Ashraf Omar, Meneja wa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, kuwa Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Agosti kutokana na utendaji wake bora katika usimamizi wa matukio ya michezo na masuala ya miundombinu uwanjani.

1725280026938.png
 
Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu. .

Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo akiwashinda Patrick Aussems wa Singida Black Stars na Abdallah Mohamed wa Mashujaa katika kinyang'anyiro hicho.

Simba ilishinda 3-0 dhidi ya Tabora United na 4-0 dhidi ya Fountain Gate.Kwa upande wake, Fadlu aliAliiongoza Simba kupata alama sita kutoka michezo miwili, ikifunga jumla ya mabao saba bila kuruhusu bao lolote, hivyo kuipandisha timu hiyo kileleni mwa msimamo wa ligi.

Aidha, Kamati ya Tuzo imemchagua Ashraf Omar, Meneja wa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, kuwa Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi Agosti kutokana na utendaji wake bora katika usimamizi wa matukio ya michezo na masuala ya miundombinu uwanjani.
Je zawadi walipewa mwezi wa 8 ama ndiyo hadi mwakani?
 
Lengo la Bodi ya League kuipangia klabu ya simba kucheza mechi zake na timu dhaifu na zinazojitafuta (zisizokuwa na wachezaji wake muhimu) limetimia,sasa kuanzia mwezi wa kumi wenye tuzo zetu tunatia timu. Kwani nyie hamuogopi?.
 
Wote hao wamestahili hilo halina ubishi. Ningempa Fernandez ila takwimu zimembeba Ahoua
 
Lengo la Bodi ya League kuipangia klabu ya simba kucheza mechi zake na timu dhaifu na zinazojitafuta (zisizokuwa na wachezaji wake muhimu) limetimia,sasa kuanzia mwezi wa kumi wenye tuzo zetu tunatia timu. Kwani nyie hamuogopi?.

Wazee Wa Lawama.....Kama Kawa.!

Huu Mwaka Mtalalamika Sana..
 
Lengo la Bodi ya League kuipangia klabu ya simba kucheza mechi zake na timu dhaifu na zinazojitafuta (zisizokuwa na wachezaji wake muhimu) limetimia,sasa kuanzia mwezi wa kumi wenye tuzo zetu tunatia timu. Kwani nyie hamuogopi?.
Hamjasema , mpaka mseme! Kila tundu lililopo kwenye mwili wa Amfibia mwaka huu lazima litowe milio ya pwiii! Fwiii!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Upumbavu tu watu wamecheza mechi moja tu
Mkuu , Kwani kila mwaka hizo tuzo huwa zinatolewa timu zote zikiwa na mechi sawa?

Mwaka juzi tuzo hizo zilitolewa simba akiwa amecheza mechi Moja tu huku Yanga na wenzake wakiwa na mechi zaidi ya mbili . Mbona hayo malalamiko hatukuyasikia?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
KIUKWELI KABISA.
simba ina wachezaji Daraja la Tatu na Daraja la nne wengi mno.

Ni aibu kwa Klabu kama simba kuwa na Rundo la Wachezaji daraja la nne.

Unakosaje kuwa na Wachezaji wa maana kama.
1. Mayeele.
2. Feisal.
3. Mpanzu.
4. Mabululu.
5 kapumbu.
6. Dube nk

Tajiri aache Ubahiri simba imeyumba mno.
 
Back
Top Bottom