Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 281,356
- 731,828
CCM ni mabingwa wa fitina na majungu, mabingwa wa usanii na vigeugeu wa viwango vyake... Ni mabingwa wabobezi wa kanuni nadharia ya karatasi kaini za kuchambia maarufu kama toilet paper
Wakikutaka kwenye mambo yao watakubeba kwa unyenyekevu na ustaarabu wa aina yake kama toilet paper ilitoka dukani kabla ya matumizi... Wakishakutumia watakukinyaa kama toilet paper iliyokwisha tumika
CCM ni mabingwa wabobezi wa kutumia pesa kila penye udhia.. Hawaogopi kumwaga kiasi chochote na ahadi kemkem za kunjunga zisizotimia...
Kila bingwa hakosi mshindani na kila mbabe hakosi mbabe mwenzake.. Mbabe wa CCM na serikali yake ni ROMAN CATHOLIC! Hili fupa CCM limewashinda kabisa kulitafuna.. Sasa wanaligwaya.. Wanalinyali na kwa namna moja ama nyingine wanaliogopa kabisa
CCM na ubabe wake wote, na mbinu zake zote, na figisu fitina na majungu yake yote imeshindwa kabisa kuipenya ngome ngumu na imara ya RC.. Sasa wana hasira na vinyongo vya chini chini.
Wanajaribu kutabasamu na kutaka kuonesha kila kitu kiko sawa lakini moyo wenye jakamoyo na sononi kamwe haufichiki mbele ya uso unaolazimisha tabasamu
Sasa kwenye kutafuta namna ya kupunguza maumivu na kuonesha kwamba hawajali wameamua kujibananisha na kujipendekeza KKKT kwa kila aina ya mwanya wanaopata!
Kwenye shughuli mbalimbali za KKKT kama harambee nknk .. Sura za juu za CCM zimeonekana mara nyingi zaidi kuliko kweingineko kote!
Naamini KKKT wana ufahamu wa kutosha kwenye hili, lakini isifike mahali wakajisahau wakapumbazika na huu ukaribu unaolazimishwa kwa nguvu zote kati yao na serikali ya CCM...
RC imebaki na misimamo yake imara kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa Tanganyika, hili limekuwa pigo kali sana kwa serikali ya CCM.. Na CCM wanaijua vema nguvu na ushawishi wa RC Tanzania na duniani kote...!!!
Ukaribu unaolazimishwa na serikali ya CCM kwa KKKT ni Ukaribu usio na upako wenye agenda ya siri na wenye nia ovu kuelekea 2025...
KKKT igutuke sasa kama bado! Shetani hana rafiki wala hana adui bali ana maslahi ya kudumu popote...!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app