Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,151
- 3,089
Habari zenu wakuu. Mko vizuri?
Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti.
Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi wa Kizimkazi Festival.
Swali langu kwa wanajukwaa, hivi Milioni 60 ni hela kubwa sana kuandaa harusi au ni kawaida sana?
Na kwani harusi huwa kikawaida huwa inagharimu kiasi gani?
Nawasilisha 🙏🏾