Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 4,890
- 10,035
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye jamii kawaida
Hawa watoto hawana chembe ya aibu hata kidogo, wavivu' wanapenda mseleleko sana sio wanaume au ke ni aibu. Wengi wao wanaishi maisha ya mtandaoni yasiyo na uhalisia na maisha yao halisi.
Kizazi hiki ni sugu nidhamu ni sifuri hawapendi kazi za jasho wapo ladhi kuzibuliwa mitaro kw sent ndogo tu au kuahidiwa simu.wadogo zetu hawa yupo tiyari kuweka rehani kijambio ili afanikishe party yake ya happy birthday.
Dogo wa miaka 17 si ajabu leo hii kumkuta kaolewa na lishangazi na anatuvimbia sisi ma bro zao
kitu kama hiki kuanzia kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma hadi adamu na eva ilihesabika ni laana.
Madogo hawa wanajichubua au kama haitoshi ukiingia geto la madogo siku hizi kukuta makopo ya makeup
sio swala geni tena.
Mbaya zaidi ya yote kizazi hiki kimekoswaheshima, nidhamu na staha si ajabu kuona pst za ajabu madogo wakiuliza KUNA KOSA GANI MAMA MZAZI KUMPEA ZAWADI YA NGUO ZA NDANI? {CHUPI}, ama kweli hiki ni kizazi cha mwendo kasi. katika zawadi zote wao wanaona mama hata chupi ampe tu!!!
Wachache sana wanao weza kupambana kwa kazi ngumu wengi wao wanaishi kwa kubeti na mabonanza.
Hata wanapopata kazi utendaji kazi wao ni hafifu sana kama hawali vizuri.
Miili yao imekaa kimrenda mrenda sna kijana wa miaka 20+_ ukimwangalia kwa makini anakuregezea macho.
Basi iwapo utasimamia kazi ipasavyo hawakosi kuacha kazi na lawama juu.
Kizazi hiki kina matusi mapyana ya kukera sana usiombe kuanzisha ligi mbele ya kandamnasi yas watu na vitoto hivi utaumbuka.
Vijana wa2000 wanapiga puchu hadharani. wasiokuwa na nguvu za kiume wala chips na energy
Hawa ndio mapanya road. miaka 90- hatukuwahi kuwa na watoto jeuri wenye kutesa jiji kama Dar.
wadogo zetu wana machine maalumu za kunyoa nywele za siri. Tangu kuumbwa kwa ulimwegu style hii ya unyoaji imevumbuliwa na kzazi hiki. labda watuambie hizo nywele makalioni nani zina mkera?
Kizazi hiki ndio matapeli wa mtandaoni. Nikweli mmetufanya kaka zenu na baba zenu tusiaminike tene kwenye nyumba za kulala wageni. Enzi zetu ilikuwa ni kawaida tu wanaume wawili kulala pamoja chumba kimoja kwa sasa haiwezekani tena yote haya ninyi mmesababisha.
NB: Mengine ni kweli na mengine utani usichukulie serious sana povu likakutoka jingi ukafa bure utuachie mke wako wa mchongo.