Noriega Jr Senior Member Apr 12, 2014 168 59 Jun 7, 2014 #1 Habari zenu bandugu, Kiwanja kinauzwa Majohe Dar Ukubwa ni 20x20 kipo eneo la Majohe kwa warioba ,hakina hati kipo kwenye Barabara ya mtaa ,bei ni millioni 7 Contact 0656539385 Hakuna dalali muhusika mwenyewe
Habari zenu bandugu, Kiwanja kinauzwa Majohe Dar Ukubwa ni 20x20 kipo eneo la Majohe kwa warioba ,hakina hati kipo kwenye Barabara ya mtaa ,bei ni millioni 7 Contact 0656539385 Hakuna dalali muhusika mwenyewe
Tembele JF-Expert Member Oct 1, 2011 1,151 341 Jun 8, 2014 #3 Milioni 7? Acha tamaa wewe. Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5 Na kuna umeme. Acheni bei za tamaa. Hicho nunua tu mwenyewe.
Milioni 7? Acha tamaa wewe. Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5 Na kuna umeme. Acheni bei za tamaa. Hicho nunua tu mwenyewe.
M maguzumasese2005 JF-Expert Member May 1, 2014 642 169 Jun 8, 2014 #4 Tembele said: Milioni 7? Acha tamaa wewe. Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5 Na kuna umeme. Acheni bei za tamaa. Hicho nunua tu mwenyewe. Click to expand... Hujalazimishwa kama hutaki kununua kaa kimya mbwiga wewe.
Tembele said: Milioni 7? Acha tamaa wewe. Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5 Na kuna umeme. Acheni bei za tamaa. Hicho nunua tu mwenyewe. Click to expand... Hujalazimishwa kama hutaki kununua kaa kimya mbwiga wewe.
Noriega Jr Senior Member Apr 12, 2014 168 59 Jun 8, 2014 Thread starter #5 maguzumasese2005 said: Hujalazimishwa kama hutaki kununua kaa kimya mbwiga wewe. Click to expand... Mkuu usingemtukana ungemkalia kimya tu,maana wengine hawajitambui sijui watu wote wangeishi goba ingekuwaje,
maguzumasese2005 said: Hujalazimishwa kama hutaki kununua kaa kimya mbwiga wewe. Click to expand... Mkuu usingemtukana ungemkalia kimya tu,maana wengine hawajitambui sijui watu wote wangeishi goba ingekuwaje,
Noriega Jr Senior Member Apr 12, 2014 168 59 Jun 8, 2014 Thread starter #6 Tembele said: Milioni 7? Acha tamaa wewe. Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5 Na kuna umeme. Acheni bei za tamaa. Hicho nunua tu mwenyewe. Click to expand... Sijui umri wako ni miaka mingapi,maana hata ungekuwa na miaka 13 tu ilitosha kuona ulichoandika
Tembele said: Milioni 7? Acha tamaa wewe. Goba, stendi pale kuna kiwanja 25 kwa 20 bei mil 4.5 Na kuna umeme. Acheni bei za tamaa. Hicho nunua tu mwenyewe. Click to expand... Sijui umri wako ni miaka mingapi,maana hata ungekuwa na miaka 13 tu ilitosha kuona ulichoandika
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 54,318 75,246 Jun 8, 2014 #7 2o kwa 20 nini? Feet,inch,meter,yard,cm?
doper JF-Expert Member Apr 12, 2014 311 148 Jun 8, 2014 #8 m.7 kwa majohe tena 20x20. mkuu hiyo bei kubwa,
Noriega Jr Senior Member Apr 12, 2014 168 59 Jun 8, 2014 Thread starter #9 doper said: m.7 kwa majohe tena 20x20. mkuu hiyo bei kubwa, Click to expand... Sawa mkuu