maselengo JF-Expert Member Jan 5, 2012 325 167 May 27, 2016 #1 Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni Ardhi?nisaidieni ambao mna ufahamu wa zaidi kuhusu hili.
Nianzie wapi ili niweze kupata eneo la kujenga kiwanda kidogo cha alizeti ushetu? Maana nimesikia kuna swala la uwezeshaji ..huu uwezeshaji nitaupatate kwenye swala la kuanzia ambayo Ni Ardhi?nisaidieni ambao mna ufahamu wa zaidi kuhusu hili.