Kivukoni Parking Service

Walad Amin

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
287
87
Wana JF na wakazi wa Kigamboni, kiribuni sana katika yadi ya maegesho iliopo ferry karibu sana na kanisa la Lutheran.
Kwa wale wanaojali muda wao wa kazi na wasiopendelea kukaa foleni ya kivuko karibuni sana.
Usafiri wako utakuwa katika usalama na usafi muda wote, tuna nidham nzuri ya upangiliaji kuepuka msongamano na usumbufu wa muda wako.
Gharama zetu za maegesho ni kama ifuatavyo kwa
- siku 1,500/= (day)
2,000/= (night)
Na tunao wanachama wanaolipia kwa mwezi.

Huduma zetu ni zaidi ya parking.
Kwa mawasiliano zaidi tu PM au
Contact: 0674592861
 
Karibuni
 

Attachments

  • 1455619132258.jpg
    56.7 KB · Views: 35
  • 1455619172989.jpg
    56.1 KB · Views: 44
  • 1455619198312.jpg
    59.3 KB · Views: 29
Ni pamoja na VAT? Unatoa risiti kama alivyoagiza Mh. Rais? kila pato ni lazima lilipiwe kodi
 
TRA kazi kwenu na ofisi zenu zipo jirani na hapo sio kutwa mna hangaika na wafanyabiashara wadogo wa Tuamoyo na kwa Urasa ambapo hawaingizi hata faida ya shilingi 2000 kwa siku!
 
TRA kazi kwenu na ofisi zenu zipo jirani na hapo sio kutwa mna hangaika na wafanyabiashara wadogo wa Tuamoyo na kwa Urasa ambapo hawaingizi hata faida ya shilingi 2000 kwa siku!
Umetaja kwa Urassa nikakumbuka mambo yetu yaleeeeee
 



Hivi Kenya Airports Parking Service ltd mkusanayaji mkuu wa parking jiji la Dar hajafika pande ya Kigamboni maana Kigamboni ni sehemu ya Jiji.


Hii tenda ya kuwapa hawajamaa nani kasimamia show yake?
 
fanyeni 1000/= kwanza hamlipi kodi na hamto risit yenye muhuri wa tra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…