A
Anonymous
Guest
TEMESA Pangani hawa-scan tiketi, askari anazikusanya tu! Kuna harufu ya upigaji! Nilipita asubuhi nilivyorudi jioni ticket niliyopewa ilikuwa inaonyesha imekatwa saa moja asubuhi! kuna mazingira ya ticket moja kutumika zaidi ya mara moja!