Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,289
- 25,880
Mkuu, kuna tofauti kubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa. Mmoja ni wa Bungeni na mwingine ni wa Serikalini. Fikiri tena.Inashangaza namna upinzani mlivyolikomalia utafikiri hii ni mara ya kwanza kwa jambo kama hili kufanyika, Mbatia alipoteuliwa kuwa Mbunge na Kikwete kelele hazikua kubwa hivi, nadhani maumivu makubwa yapo huko Chadema maana walikua wanaona wanastahili kumbe hamnna lolote. Kuna vyama vidogo tu vina watu potential kuliko chadema na lundo la wanasiasa wasio na weledi wala ubunifu zaidi ya kauli za kutisha na kukatisha tamaa.
Lini rais wa nchi hii amewahi kumteua mpinzani akawe mkuu wa mkoa ama wilaya ? Usichanganye na nafasi za ubunge mkuu. Huyu mkuu wa mkoa anaenda kushiriki mpk vikao vya ccmMay be!! But its not the first time kwa Mwenyekiti wa CCM kufanya hivyo.
Wamenuna hao ni balaakwa sasa maccm imekula kwao. wamebaki kusifia kinafiki huku wakiumia moyoni
Is it? Na ile ya Prof. Kitila?May be!! But its not the first time kwa Mwenyekiti wa CCM kufanya hivyo.
Ukiitazama CCM hamna kitu hasahasa wabunge ,wao ni kudandia hoja tu,wanajikanyagajikanyaga isu ya mchanga wa madini itakuwa kama faru John badae isu ikiwa ngumu wataipotezea na wanakuwa kama gar bov stering inacheza cheza wanakosa inakosa muelekeo,kwa sasa maccm imekula kwao. wamebaki kusifia kinafiki huku wakiumia moyoni
Inashangaza namna upinzani mlivyolikomalia utafikiri hii ni mara ya kwanza kwa jambo kama hili kufanyika, Mbatia alipoteuliwa kuwa Mbunge na Kikwete kelele hazikua kubwa hivi, nadhani maumivu makubwa yapo huko Chadema maana walikua wanaona wanastahili kumbe hamnna lolote. Kuna vyama vidogo tu vina watu potential kuliko chadema na lundo la wanasiasa wasio na weledi wala ubunifu zaidi ya kauli za kutisha na kukatisha tamaa