Kiubinadamu hapa nifanyeje

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
672
Habari za wakati huu wakuu
nina swala moja linanitatiza kidogo kuna jamaa mmoja ni rafiki kikazi huwa tunashirikiana michongo flani hapa town ni baba mwenye familia anajitambua ananipenda kama rafiki yake na ni mtu wa kuipenda familia yake sana

Sasa kuna kamchongo kakupata pesa kanifanyia (watoto wa mjini tunasema dili la pesa) hatimaye mchongo umekubali sasa natamani nifanye kitu au nimpe kijizawadi cha kumshukuru

Kwa mtu kama huyu naweza kumpa kizawadi gani au kufanya nini ajue nimeaprisiet sapoti yake au asante tu inatosha.
Nb. ni mtu na pesa zake hana shida

Msaada pls
Kama huna ushaur siyo lazma ucoment
 
papuchi
 
Mfanyie surprise fulani iv amaizing kwa kuangalis vitu anavyopendelea mostly na ambacho hatakisahau na kumfanya mkumbukane daima...

Then ukiona vp nenda kafanye kipindi pale TV 1 kwenye kipindi cha the package hii itakuwa heshima kubwa sana pia kama utaona hivo!!
 
Nunulia watoto wake nguo nzuuuuri
 
mpe unachosikia ni kizuri kwake/atafurahia.

ingekuwa mimi ningempa 20%

kikikikikkkkkk
Asante kwa ushauri nitajiongeza niliwaza pia hivi ila nafikiria iwapo atafurahia anaweza kukataa aseme mimi sikuwa nahitaji chochote kwako nilikusaidia tu nitakuwaje mdogo hapo
 
Ukumbuke huyu ni mtu ninayemweshim so zawadi pia iendane na heshima yangu kwake na familia yake
 
Asante kwa ushauri nitajiongeza niliwaza pia hivi ila nafikiria iwapo atafurahia anaweza kukataa aseme mimi sikuwa nahitaji chochote kwako nilikusaidia tu nitakuwaje mdogo hapo
Jiamini bwana!
 
umukagame baada ya kimya kirefu umekuja na kituko.. Mkuu hapo Ww ni kumpa papuchi akisugua kwa mda wa Kama dk 3 mwambie jirani yake na papuchi Pia anataka.. Maana yake 0715
Huko umefika mbali mkuu siongea about papuch hapa be serious guy
 
Urafiki(friendship) ndio zawadi nzuri kuliko zote ,
Endelea kuwa rafiki yake wakati wootee hata nyakati za shida,
Asante lakini hapa natamani nimwoneshe ni kiasi gani nimeapreciate sapoti yake kwenye hii isue ukiacha urafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…