Nimeona clip Mkuu wa Mkoa Arusha anasema kuna mwananchi kanunua nyumba kashindwa kukabidhiwa nyumba aliyolipa asilimia 70 na kapewa kesi yaani ujambazi wa kutumia silaha na kituo cha polisi Usa River Arusha.
Nathibitisha baada ya ufuatiliaji wa miezi minne (4 ) Kituo cha Polisi Usa River kinatumika vibaya sana na mbali ya rushwa polisi wa pale ni wezi kabisa. Mahabusu akiingizwa ndani akaacha kitu cha thamani kama simu au hata viatu au sandals akitoka havipo. Ukiuliza sana unatishiwa mpaka na mkuu wa kituo.
Afisa Upepelezi wa Wilaya wilaya na Mkuu wa polisi wilaya wanaruhusu na kushiriki mambo maovu sana.
Maombi: Uchunguzi ufanywe na kituo hiki kisafishwe kwa kuhamisha na hata kuwafukuza kazi wote hawa nchi ina watu zaidi ya milioni 60 iweje wananchi wanyanyaswe na watu wachahe na kuichukia serikali yao??
Kituo cha Polisi na Polisi wenyewe ni MALI YA WANANCHI sio pango la wezi mpaka Mkuu wa Mkoa anatamka hadharani. Safisha vituo vya polisi Arusha.