johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,165
- 164,635
Hii Ndio taarifa inayojadiliwa zaidi na Wana Mbeya kwa sasa
RC Homela na Uongozi mzima wa mkoa wa Mbeya tarehe 02/02/2024 watasikiliza kero za Wananchi wote wa mkoa huo
Hii inafanyika kabla Katibu wa Itikadi na Uenezi Komredi Makonda hajaufikia mkoa huo katika Ziara yake ya Mikoa 20
Makonda kama Shujaa Magufuli dadeki 😀😀
Mlale Unono 😀