Kitendo cha wauwa demokrasia kupewa kubali na ubunge ni ajabu!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
7,317
10,033
1718639904989.png

Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
 
View attachment 3019549

Huyu na Polepole walitajirika sana kwenye ule mradi haramu wa kununua wapinzani uchwara. Eti yule mlevi mbwa Waitara alinunuliwa kwa m350,yeye akapewa m50 na ubunge 300 iliyobaki wahuni wakapiga pasu.
 
View attachment 3019549

Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
Demokrasia inakusaidia nini? Chaguzi zetu Rushwa ,Tupu siyo upinzani siyo CCM! Wanasiasa wetu Rushwa Tupu, siyo CCM siyo Upinzani.

Kwa Afrika Siasa na Demokrasia ni miradi ya wanasiasa Kufilisi Nchi! Wananchi Amkeni!
 
Demokrasia ni vitendo sio idadi ya nyama!. Wakati wa Magufuli na huyu jinamizi hatukuwa na demokrasia. Upinzani hawawezi kuiba pesa wakati hawako kwenye uongozi!
 
Back
Top Bottom