The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,684
TRA, Medium Taxpayers Division, Dar es Salaam ichunguzwe. Sikatai, hata kama mteja wenu ana madeni ya kodi, kuwepo kuna arrangement ambayo itamsaidia aweze kuyalipa bila kuathiri shughuli za uendeshaji wa biashara.
Kitendo cha kuingia moja kwa moja kwenye account ya bank ya mlipa kodi na kuchota hela bila taarifa siyo uungwana, mbaya zaidi ukiwafuata wakupe details kama debit number za tax ulizolipa kwa hiyo wanayoita Agency Notice hawana, unakuta ni hela imekatwa na bado madeni yanaonekana yako pale pale, control number inatengenezwa bila kuwa na debit number wakati ni kodi ambazo zilishakuwa assessed za madeni tayari yana debit number.
Hii ina hatarisha kuja kukombwa pesa tena, kwa sababu deni linakuwa pale pale. Kwa kweli inavunja sana moyo wajasiriamali, yani unaingia kwenye account unakuta milioni 100, unachukua 90 bila maelezo ya kodi hizo, bila kujali biashara ya huyu mlipa kodi ita survive vipi. Waziri aliangalie hili.
TRA Tanzania
Pia soma ~ Mjadala kuhusu Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024: