Kitendo cha kuvunja sanamu la Mungu ni jaribio la kuua Mungu wetu.

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
9,095
31,689
Abdulsalam Abasi Ibrahimu mkazi wa Mchangani Unguja, alie vunja sanamu la mtakatifu joseph na Yesu pamoja na bikira maria kanisani ni kosa la kujaribu kumuua Mungu wetu, naomba ahukumiwe na mahakama ya Mungu sio ya duniani.
Nimemaliza.
 
Wewe ni muislamu mwenye laana kama ilivyo dini yako ya laana
Neenda kwa hoja Dini sio private entity sihitaji ruhsa kwako kuingia au kutoka kwa ukatoliki kwa wakati wowote chunga mdomo wako mkuu acha marumbano.
 
Abdulsalam Abasi Ibrahimu mkazi wa Mchangani Unguja, alie vunja sanamu la mtakatifu joseph na Yesu pamoja na bikira maria kanisani ni kosa la kujaribu kumuua Mungu wetu, naomba ahukumiwe na mahakama ya Mungu sio ya duniani.
Nimemaliza.
katika kipindi hiki cha kwaresma waamini wanapotafakari mateso, kifo na ufufuko wa Yesu Kristo wa Nazareti,

kijana mpendwa sana,
Abduksakam Abas Ibrahim asamehewe na ahurumiwe kama tendo la huruma kwa wahitaji...

kijana anahitaji msamaha na huruma ya Mungu zaidi na si vinginevyo...
 
Kwani kuna ulazima gani binasdamu aingilie kati Mungu hawezi kujitetea mwenyewe?????
 
Wamemkamata wamempa cheo cha ukichaa, yani hajapelekwa hata kituoni tayari wamesema ana upungufu wa akili, hii inamaana kuwa tayari wanamkingia kifua.
Mimi niwaambie tu, kanisa ni moja duniani ROMAN CATHOLIC, hakuna kanisa jingine, hii ndio dunia.
Kweli mkuu nakubali ila lete hoja kwa vingezo na udhubitisho, kwanza kule hamna police ya kumfunga hilo liko wazi, kwanini Mungu anavunjwa amesimama tu bila kujilinda.
 
Abdulsalam Abasi Ibrahimu mkazi wa Mchangani Unguja, alie vunja sanamu la mtakatifu joseph na Yesu pamoja na bikira maria kanisani ni kosa la kujaribu kumuua Mungu wetu, naomba ahukumiwe na mahakama ya Mungu sio ya duniani.
Nimemaliza.
Wakatoliki punguzeni mijisanamu khaaa!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani kuna ulazima gani binasdamu aingilie kati Mungu hawezi kujitetea mwenyewe?????
kwa ukengefu wa aina hiyo hawezi kamwe kujua wala kufahamu kama ametenda kosa na kwahivyo hana cha kujitetea kwani hajui na hakujua atendalo....

Ni huruma ya Mungu pekee inayoweza kumrejeshea ufahamu na uelewa wa kujua uchungu, hasira, ubaya na hasara atendeayo imani za wengene zisizomuhusu....

Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, wala hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wapokee toba...
 
Abdulsalam Abasi Ibrahimu mkazi wa Mchangani Unguja, alie vunja sanamu la mtakatifu joseph na Yesu pamoja na bikira maria kanisani ni kosa la kujaribu kumuua Mungu wetu, naomba ahukumiwe na mahakama ya Mungu sio ya duniani.
Nimemaliza.
mmbarikiwe mkiwa mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom