Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 654
Huyo ni kiongozi wa CCM yupo shuleni anatoa hamasa wanafunzi wajiandikishe tangu nimenza kusoma takribani miaka 20 iliyopita sijawahi ona chama chochote cha siasa kinakuja kuamasisha wanafunzi wajiandikishe kupiga kura.
Serikali ituambie je CHADEMA na ACT-WAZALENDO waende shuleni?
Serikali ituambie je CHADEMA na ACT-WAZALENDO waende shuleni?