INAUZWA Kitanda na Godoro vyote vipya vinauzwa mbeya (4*6) 150k

simon baker

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
521
692
Habari...
nimehama mbeya, nimeacha kitanda na godoro 4*6 nimetumia mwezi mmoja(20days)...
bei 150k fixed...
karibuni..kama utahitaji kukiona tiwasiliane
0742900511
 
fh kwenye beat,
mkuu ndo mana nimeandika kama utahitaji maana nimeondoka gafla,nilichofanya nikukifungua na kupeleka kwa jamaa yangu store akiweke kwa mda mpaka nitakapo pata tamati yake..na ndo mana picha hakijapigwa ila nikipata mtu anayekihitaji akinitafuta private picha ntamuomba jamaa anipigie...
sipendi kumsumbua mtu aliyenistili mali yangu istoshe natest mitambo maana pia naweza kisafirisha maana ni akiba pia.
natanguliza shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom