INAUZWA Kitanda kinauzwa cha kizamani kinafaa kwa shambaboy au anayeanza maisha

Ruble

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
845
1,578
Habari

Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi.

Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.

-1159616012850410683Recovered.jpg
-3982893538849693559Recovered.jpg
 
Mkuu ungesema tu kitanda kikukuu kwa bei poa, hayo maneno mengine uliyoweka ni makali sana
Dah mkuu niwie radhi kwa niaba yako na wengine kama nitakua nimewakwaza. Sikua na maana mbaya mkuu. Tupo pamoya
 
Basi 2000/= mkuu
Dah! Jamaa amesema dau langu lipo chini sana. Ngoja niendelee kubangaiza. Nikifikia elfu 48, nitakuomba sasa uniongezee hiyo buku 2 ili ifikie elfu 50!

Nina imani nikimtangazia hilo dau, hatachomoka. Nimechoka kuishi kwa shemeji. Mwaka huu 2021, ni lazima niondoke na kwenda kujitegemea.
 
Sawa mkuu acha na mimi nizidi kupambana! Naweza ongezea ikafika hata buku 5 hivi. Kwahiyo na uzee wote huo bado upo kwa shemeji dah😀🙌 kaongo wewe
 
Back
Top Bottom