Kitabu cha SALAMU TOKA KUZIMU

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
"Bado nasisitiza kuwa tusithubutu kufanya lolote kabla ya kuhakikisha kuwa Joram Kiango ni marehemu..."
Ndivyo anavyosema mshiriki mmoja katika kikao nyeti, chenye usiri mkubwa. Kikao kinachohudhuriwa na watu wazito wenye hadhi kubwa mitaani na nyadhifa nzito maofisini.
Kwa nini Joram Kiango anahukumiwa kifo? Na ni mkakati gani huu unaoitaka roho yake kabla ya utekelezaji?
SALAMU TOKA KUZIMU ni riwaya ya aina yake ambayo msomaji anashauriwa kutoianza kabla ya kuhakikisha hana chungu jikoni 😝
Riwaya hii pamoja na zingine nyingi vinapatikana hapa 👉 Heko Publisher Ltd au unaweza kupiga simu namba 0712504985 ujipatie nakala yako.
 
Nitawafikia nipate kupata nakala zangu kadhaa maana Joram siyo mtu mwepesi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom