Kiswahili is now a unifying factor of Kenya

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,091
1,404
Kiswahili kinakua kwa kasi kubwa nchini Kenya. This language is breaking down all the burriers of tribalism in Kenya. Kiswahili kinabomoa kwa kasi ukabila nchini Kenya.

Wakenya sasa wako wamoja kwasababu ya matumizi makubwa ya Kiswahi. Kaimu Raisi W. Ruto jana aliongea kiswahili kizuri sana.Hongera sana Ruto kwa kupromot Kiswahili. You are good in Swahili.

New vocabularies: WASHIKADAU-Stakeholders, MUBASHARA- Live, KUPIGA CHAPO-to look, MCHAKATO-Process,HUISHA-Renew.
 
Kiswahili sio koswahi
Huku kwetu kukosoa hivyo tu mtu anaweza kujiona Albert Einstein wa kiswahili.
Kiswahili ni lugha sahihi na ikiwezekana Makabila yote na lugha zao yafutike kitawale kiswahili
 
Is this supposed to be a surprise? For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together. many Kenyans prefer to speak English or Sheng' though and not Kiswahili Sanifu kama tz...ni lugha ya kishamba huku
 
For many decades, Swahili has always been a unifying factor in Kenya...not just now....so is English...although 'Kiswahili Sanifu' is a challenge for many Kenyans except the ones from the coast (wapwani), it brings Kenyans together.
Hivi nchini Kenya kuna wana vijiji ambao hawakusoma, lakini wanazungumza kingereza kama lugha yao ya pili au kingereza ni lugha ya wasomi tu? Nisaidie Mkuu.
 
Hivi nchini Kenya kuna wana vijiji ambao hawakusoma, lakini wanazungumza kingereza kama lugha yao ya pili au kingereza ni lugha ya wasomi tu? Nisaidie Mkuu.
utashangazwa! wakenya wengi hata wale wasio na masomo ya juu wanaelewa kiingereza vizuri tu...
Kuzungumza ndio shida especially wale wakongwe...kama ni vijana, wote wnazungumza Kiingereza hata kama ni mashambani...tuseme kiingereza ya mkenya wa darasa la pili ni bora kuliko ya mtz wa shule ya upili
 
Kama kilivyo kiswahili cha mtoto wa tz kilivyo bora kuliko professor wa kenya
 
Kama kilivyo kiswahili cha mtoto wa tz kilivyo bora kuliko professor wa kenya
kweli...wakenya wengi hawana haja na kiswahili sanifu...wanachukulia ni lugha ya kishamba...ndio maana wakatoa Sheng'... nadhani kilitoka kwa kuwadharau watanzania...most kenyans see tanzanians are inferiors and therefore dont want to be associated with them especially through language...
 
Lugha ya kishamba? Mbona hadi kwenye TV mnaitumia
that is just formal and it comes from the govt forcing ppl to learn it in schools and also use it in News...ila ukija mtaani ndio utajua hakuna anayekidhamini...kwa mfano news ya saa moja ambayo ni ya kiswahili huwa ya dakika 20 na hakuna anayeitazama...ya kiingereza on the other hand ni ya masaa mawili...magazeti na vipindi vya kiswahili ni chache sana...za kuhesabika...kama Sheng' ingekubaliwa kutumiwa shuleni na ktk habari, basi Kiswahili kingetupiliwa mbali kitambo...forgive my Kiswahili...its not my fault its just the way we grew up...ntakupa mfano huu...nilipokuwa shuleni, kulikuwa na siku nne rasmi za kuzungumza kiingereza (monday to thursday) na ungepatikana ukizungumza kiswahili ungepewa kichapo cha mbwa....siku ya Ijumaa pekee ndio tulikubaliwa kuzungumza Kiswahili...
This is the norm in many of Kenya's towns and cities
Examples
Sheng Standard English (translation)
Huu msee ni fala! This guy's an idiot!
Si unidungie chwani? Can you please give me fifty shillings?
Acha kubonga mavi mdhii. Stop talking smack, man.
Ukivuta fegi utajiletea noma If you smoke cigarettesyou'll get yourself in trouble.
Ule dame amechapa! That girl is ugly!
Maisha ni gwan bana. Life is hard man.
Kuja utugawie hizi njiva. Come and share your fries with us.
Budake alishikwa na makarao. His dad was caught by the police.
Aliibiwa mbota na mboch. His watch was stolen by his housegirl.
Aliona magondi akaingiza njeve. He got scared when he saw some thugs.
Budake ni mzii. His father is tough/bad.
Mokoro aliniwai rwabe nikamchekie ka kwota. My mother gave me 200 shillings to go buy a quarter kilogram of meat.
Alirauka gware ndo asihate mat za kwenda kwao moshatha. He woke up early so as not to miss a matatu to his rural home.
 
Jamaa muongo sna. Mi nomesoma kenya wew nimuongo. Unamaanisha hata kule turkna na umasaini pia wanajua english. Kuna maeneo kenya hawajui english wala kiswahili ni mother tongue tu. Acha uongo wew duh
 
Kiswahili chenu kibaya
 
Mbona hii sheng ni kama lugha ya kuzimu haiielewek kabisa
 
Jamaa muongo sna. Mi nomesoma kenya wew nimuongo. Unamaanisha hata kule turkna na umasaini pia wanajua english. Kuna maeneo kenya hawajui english wala kiswahili ni mother tongue tu. Acha uongo wew duh
akili yako nadhani imejaa uji....nikisema hivo namaanisha maeneo mengi na sio kila mahali.....ningemaanisha kila mahali ningefaa kutaja maeneo hayo....
 
Sasa si muache kukitumia? Kwanini mjitese? Huo ni utumwa wa fikra, eti lugha ya kishamba...lol..nyie ndo washamba eti mnajitofautisha na wabongo kwa Kiswahili ambacho ni lugha yetu ya asili then nyie kujiona bora kwa lugha ya kukopa kwa wakoloni, huo ni utumwa, huwez kujigamba kwa lugha ya watu, ingekua English ni your very own language ningewaona wajanja bt nawaona ni more than washamba coz hata lafudhi mnayoongelea kingereza ni kama kijaluo sijui kikuyu...wereva... bt ukimkuta mbongo aliyeiva kwenye ngeli mkenya utasubiri sana, kiufupi mnalafudhi mbayaaa iwe Kiswahili au kingereza, I wish mtuachie kiswahil chetu coz hata sisi hatupendi kushare na nyie our very own language. Hata sisi tunadharau English ni vile tu mfumo wa elimu umetulazimisha bt we are very happy with our language, hata nyie mnafurahia the way we speak our Swahili bt ni vile tu hamuwez confess in public bt moyoni kinawaingia vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…