Wewe mwenyewe mkuu unachangia sana katika kuiangamiza lugha yetu,angalia bandiko lako kichwa chake cha habari,maneno mawili ya mwisho yalipaswa yawe 'chaangamia' badala ya 'cha angamia',umeacha nafasi pasipotakiwa,pia ndani ya bandiko lako umetumia neno la lugha ya kiingereza la 'like' wakati kuna mbadala wa neno hili mkuu