Hawa nao ni washenzi sana,halafu ukiwaangalia vizuri watu wanao deal na hawa jamaa ni kama madishi yameyumba hivi! Yani kama akili zao zimeshikwa sehemuNa hawa QNET sijui serikali imewaweka upande gani?AU wana baraka zote za serikali?Make naona km matapeli wengine wa kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Walinidaka sehemu nikawapa nafasi ya kuwasikiliza;Aisee jamaa wanaongea tena kwa macho makali na sauti kali;Good morning! !Kila mdau anasifia kuwa na magari,nyumba na kuwa na ndoto za kumiliki mabilioni baada ya mwaka mmoja,Hawa nao ni washenzi sana,halafu ukiwaangalia vizuri watu wanao deal na hawa jamaa ni kama madishi yameyumba hivi! Yani kama akili zao zimeshikwa sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweka hela yako baada ya muda mfupi unaenda kuchukua ikiwa imeongezeka mara mbili
Hivi deci!waliwarudishia hela wanachama wao maana nakumbuka serikali ilizizuiaUnaweka hela yako baada ya muda mfupi unaenda kuchukua ikiwa imeongezeka mara mbili
Unakumbuka DECI?
Kesi bado inaendeleaHivi deci!waliwarudishia hela wanachama wao maana nakumbuka serikali ilizizuia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikula 100,000 yangu ili nijiunge nilitoa ila nikaona ni upuuz nikawatemaRIFARO
Hawa sasa ndio walipaswa kuishi kama mashetani
Kwa sababu kama hizo zilizothibitishwa na mahakama!
Povu ruksa!