SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 8,360
- 13,566
Watu wanadai pwenti 3 za bure wakati hata wao hawajafuata taratibu zinazoweza kuwapa nguvu ya kudai hizo pwenti tatu.
Tuachilie mbali tukio la kuvunja kanuni kwa kuzuia mpinzani wake asifanye mazoezi na kumfanyia vurugu usiku wa kuamkia mechi husika.
Tuachilie mbali kuvunja kanuni kwa kuingia uwanjani kwa kutumia milango isiyo rasmi. Tuachilie mbali kutokuwepo kwa maafisa wa TFF, Bodi ya Ligi wala waamuzi wa mechi uwanjani ili kushuhudia uwepo wa timu mojawapo iliyotimiza taratibu za mechi.
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Embu twende kwenye fact kuwa hakuna picha wala video yoyote ya Yanga wakiwa uwanjani wakiwa wamevaa jezi rasmi zinazotambulika na TFF za msimu huu wakiwa tayari kwa mechi husika.
Kisheria na kikanuni, Yanga pia hawatambuliki kama walikuwepo uwanjani siku ya 08/03/2025.