Nao wenye njaa wakamwendea mfalme wakimwambia,
Ulipokuwa unaomba kura, tulikuwa pamoja nawe, Hata kwenye ma Fuso tulipanda kuja kwenye mikutano yako na kuimba pambio za kukusifu...
Hata yale mafuriko tulijitahidi kuyazuia kwa mkono, sasa leo tumekuja tuna njaa tunaomba utuokoe mfalme wetu!
Naye mfalme atawajibu akisema, 'Siwajui mtokako'!