balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,385
- 13,779
Mazee una miaka mingapi?Hivi Kisarawe ni Wilaya Mpya?
Mi nakaa kibambaKwani wengine wanakaa wapi.
Hapana nimezoea wilaya Mpaya kama Wanging'ombe , Mkalama au Uyui, Mkinga ndio watu wanalazimishwa kuhamia wilayani sasa wilaya Kisarawe ya umri mkubwa watu hawaishiMazee una miaka mingapi?
Kisarawe mbona wilaya kongwe hiyo, kwa miji mikubwa kama New York, Tokyo na London ingekuwa kiunga cha Dar tu.
Ukipita Pugu Sekondari tu unaingia Kisarawe.
Bado,Pugu siyo kisarawe.Kwaiyo kama mtumishi ana kaa pugu je.
Mkurugenzi amewatwanga barua wakuu wa Idara zote za serikali wahakikishe watumishi wote wanahamia Wilayani Kisarawe ndani ya siku kumi na nne(14). Atakayekaidi kuchukuliwa hatua kali. Hii inahusisha kada zote za waajiriwa wa serikali.
Nimeongea na mdau wangu Mkuu wa Shule moja anasema yeye ana walimu 45 ila nyumba za walimu zipo mbili hajui watafanyaje. Agizo limeleta taharuki kwa sababu Kisarawe hakuna hata nyumba za kupanga nyingi na watumishi wengine walijenga Pugu, sasa wataacha familia na nyumba wakapange upya?
Na hata kama kuna maeneo zipo zoezi la kushtukiza, watumishi watapata wapi hela za pango?
Pugu ni Wilaya ganiKwahiyo kama mtumishi anaishi Pugu je?
Hee, hapo mbona karibu sana mkuuBado,Pugu siyo kisarawe.