GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,024
- 119,543
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo nikasema huyu jamaa Yanga huyu sasa nikasema Simba Day Majaliwa hakuwepo, na Yanga Day Makamu wa Rais yupo basi mi ntakuwa katikati" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar
Chanzo: East Africa TV
Pia hata Mimi GENTAMYCINE pamoja huwa nawasifia Yanga SC, ila sifichi kuwa Mimi ni mwana Simba SC hadi Kiama.
Chanzo: East Africa TV
Pia hata Mimi GENTAMYCINE pamoja huwa nawasifia Yanga SC, ila sifichi kuwa Mimi ni mwana Simba SC hadi Kiama.