Kisa cha Penina wa Goba, mrembo aliyeuawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa kama kuni

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
7,582
14,838
Kabla hujasoma jua kua Nimecopy na kupaste kutoka twitter kwa @NikkiWa111

The Story:

Muda huu nikiwa narudi kutoka mihangaikoni, naona watu wengi, bodaboda wengi wamekaa vikundi vikundi, kiasi ambacho kinasababisha foleni.

Ni nadra kiasi, kuona majira ya saa 4 usiku, kukiwa na ka-foleni njia ya Makongo-Goba, mara nyingi mida kama hiyo foleni huwa imeachia.

Nasogea mpaka karibu na round about ya Goba center, kabla sjapanda matuta mawili ya mwisho, nikitazama kulia naona kituo cha Polisi, Goba....kuna kitu hakiko sawa! Naamua kushuka nawaendea bodaboda nikapige nao stori mbili tatu......[ni wanangu sana hawa].

Boda: "Jose kamwaga mtu mchuzi, yuko polisi hapo kituoni"

Mimi: "Oyaa, Jose yupi?"

Kichwani nikawa nawaza, Jose kammwaga mtu mchuzi, inakuaje wamegombania mwanamkw au wamelewa?

Muda si mrefu, boda ananisaidia kung'amua kitendawili, analitaja jina la mwanamke mmoja mrembo sana, ambae wanaume wengi wenye jenereta lenye mafuta kiunoni lazima wamfahamu.

"Jose Msukuma kamuua chura wake pale baa kwake"....kauli hii ya bodaboda yule mshkaji, ilitosha kunipa code nikamuelewa.

Mimi: "Oyaa, ile mama nginjanginja komasava?"

Bodaboda: "Hiyohiyo, watu hawataki utani na vyoo vyao, wanapokojoa hawataki wengine waingie."

Daaah!

Labda hujanielewa, acha nikueleweshe vema...

Hapa anazungumziwa Penina, mwanamke mmoja ambae alikua mrembo sana na shepu lenye kufanya mwanaume amtazame akipita.

Ukiacha uzuri wa Penina, Mungu alimfungulia milango ya umaarufu kutokana na uzuri wake, ni mwanaume gani hamfahamu Penina wa Goba Center?

Penina alikuwa maarufu sio tu sababu ya uzuri wake, bali pia hakuwa na hiyana kutoa tuzo za Grammy ikiwa umeimba vizuri na una mkwanja.

Kiufupi, Penina alikua mtoto wa mjini aliyejua ulimbo wake uko mahala gani, mtoto fulani mbichi wa 1996-98 hiviiii, nje kimeiva ndani kibichii.

Basi Bwana Jose, aliyekuwa na lafudhi ya kukandamija kama Masanja, [Msukuma] akanasa kwenye ulimbo wa Penina.

Wasukuma wanajua kunasa ila Jose akanasia!

Jose, akamkuta Penina anadaiwa vikoba, aka-clear madeni.

Akajaza vinywaji kwenye bar [Grossary] ya Penina, full kutamba nae na kujimwambafai, maisha yakawa matamu kwa Jose.

NI RAHISI KUMTOA MTU GHETTO, ILA SI RAHISI KULITOA GHETTO NDANI YA MTU"

Hiki ndicho kilitokea, Penina, Mama wa watoto wawili akasafiri ghafla kwenda Tanga bila Jose kujua.
Huko ndipo kulipozaa kifo chake.

Alienda kumuona baba mtoto wake, aliezaa nae.

Jose akapiga simu, hakuwa akisikia sauti ya Penina.
Sauti pekee alizosikia ni customer care wakimuomba apige baadae sababu simu haipokelewi.

Yaani, Moja haikai, mbili inachomoka, Tatu mpaka ushikilie gear lever na clutch unaipa mbali isizime.

Penina aliporudi Dar, alifikia Grossary kwake palepale Goba Center.

Mpaka saa tisa, Jose anamuona Penina akijiposti status ila haji nyumbani.

"Bado niko na wateja, hawajamaliza vinywaji vyao"

Huu ulikuwa ujumbe mfupi wa Penina kwa Jose.

Akilini mwake, yale maneno ya washkaji na bodaboda yalimjia kwa wingi....

'Utamuweza huyo?',

'Chura mtundu huyo....atakusumbua',

'Huyo uwe na hela kaka, atakufilisi',

'Chura huyo anaogelea adi maji ya moto Jose, shauri yako' n.k

Ninavyoandika hapa, ni kwa sababu Jose Msukuma, fundi ujenzi aliyejinasibu anahudumia kisukuma, amejisalimisha kituo cha Polisi Goba akiwa na Panga linadondosha damu kwenye korido ya meza ya mapokezi.

Jose anasema, 'ameua mtu'!

Jose Msukuma amekatisha uhai wa Penina kwa Panga akiwa Grossary kwake.

Simu ya Penina haiiti tena, simu ya Jose haitapokea tena tenda za ujenzi kama ilivyokuwa awali, ni mali ya Polisi ikiwa inachunguzwa mawasiliano yake na Penina.

Nampa tano boda mshkaji wangu, naendelea na safari yangu.

Mapenzi Sio Mchezo Mzuri!

20240524_063442.jpg

Pia soma: Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga
 
▪︎Ukienda kwa Ex-Wako, usijiposti Msukuma
[Wivu] akaona.

#Mapenzi Sio Mchezo Mzuri!
Vifo vingine ni vya kujitakia, apumzike anakostahili.

Lakini bado msukuma hakuwa na ushahidi wa kutosha kwamba Penina alichepuka, wasiwasi wa mapenzi ni hatari.
 
Back
Top Bottom