Nikiwa form two alikujaga home mtoto wa Anko, yaaani hiyo mitego tukiwa wawili tunajisomea siwezi kuelezea. Kitu kilichonisaidia nilikuwa nawaogopa sana wanawake, pia nilijua ukifanya mapenzi lazima ufeli form four. So nilikuwa naumia kimoyo moyo hadi alipoondoka.