Kipindi Rais unaendelea kutoa mapesa kwa Taifa Stars, tukumbuke wakulima wa mpunga na mahindi ambao tumeuza mazao yetu NRFA

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
4,689
11,305
Tuliahidiwa malipo ndani ya week mbili sasa inaenda miezi, huku ukitoa mapesa kwa taifa stars, roho inatuuma sana, na sisi tukumbuke.

Pia soma

- KERO - NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati mwaka 2024/2025. Haya ni mateso na uonevu

IMG-20241121-WA0001.jpg
 
simmeambiwa kama nchi ngumu hamieni burundi? mambo magumu sana haya mliipenda wenyewe wacha muisome namba eehhhhh someni nambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hawa na ASA ni jipu .kufanya biashara na serikali ni ugonjwa wa moyo .hawa ASA nili wauzia alizeti 2023 niliona moto asee sita rudia kabsaa
 
Hakuna jambo linanishangaza kama hili la kutokulipwa Hela zetu za mahindi,labda wameamua kutupunguza wakulima wamahindi ili njaa mwakani iwepo wakaombe msaada marekani,haiwezekani watu making wakazuia pesa za mkulima na msimu umeshaanza,Bashe naSilinde wanajua kuwa mvua zimeanza wanaona tunalalamika wamekaa kimya tu,huu ni utapeli,na ni nchi ya ajabu inayofikia mpaka kutapeli watu masikini wa mwisho,
 
Watulipe pesa zetu.
 
Nimekoment nimefuta
Nimekoment nimefuta
Nimefuta nimekoment
Nimekoment
Nimefuta. Nimefuta na kukoment na kufuta
 
Kwa huu uchumi wangu papatupapati siwezi kufanya biashara na serikali.

Kama ni mtaji wa kuungaunga usithubutu kufanya biashara na serikalu utajuta.
 
Back
Top Bottom