sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,245
Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona wawe na mtu moja kuliko kubadili badili (wahasibu na wachumi tunazita economies of scale for bulk purchasinhg),watu washaweka bajeti mpaka za laki 3 kuvuka hizi mvua.
Wanaonyimwa unyumba na wake zao/ waume zao - hali kadhalika nao wameona wachukue break ya muda mfupi kujipatia joto nje ya barabara kuu.
Wanaojichua - Sio suala la kufika kileleni pekee bali kupata mwili wa kukupa joto na ndio maana hata wale wanaojichua nao wameanza kuhonga ili kupata joto la kulikumbatia.
wasio na nguvu za kiume - hawa nao aibu wameweka pembeni ya kupiga kimoko chali ama kukojoa, mpango mzima ni kupata joto, hayo mengine hawataki kuhojiwa maana hawalipwi bali wanalipa wao.
Waliobomolewa madanguro - why why why madanguro yamebomolewa kipindi hiki cha mvua, hali ihii imefanya haya yale madanguro ambayo hayajaguswa bado kukosa wateja kwa kuhofia msako unaoendelea, salama yao ni kukodi mageto kabisa na kuhonga