BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,865
- 13,119
Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA.
Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana ikitokea Kuna kitu unique na kinafanya poa lazima utoe shavu na kuwapa watu maua yao.