Kitarushwa kuanzia saa 3:05 usiku wa Ijumaa ya leo.
Chanzo:ITV
Wenye "chuki" mjinyonge!
Update:
Kipindi kimeanza,ni tathimini ya yaliyojiri katika uchaguzi mkuu uliopita kutoka kuomba ridha ya CCM na baadae kuhamia CHADEMA na zoezi zima la kampeni.
Nikiangali picha kwakweli nakumbuka mbali na ninapata masikitiko fulani.All in all,kwa hizi picha zinazoonyesha maelfu ya watu,mh.Lowassa ameandika historia kubwa katika siasa za nchi hii.
Kuhama CCM na kujiunga CHADEMA na kisha kugombea uraisi kupitia CHADEMA /UKAWA, mh.Lowassa ameandika historia kubwa katika maisha yake ya kisiasa kulikoni kama angebaki ndani ya Chama cha Mapinduzi(CCM).
Ukweli lazima usemwe hata kama wengine hampendi.