Abtali mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 657
- 510
Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo.
Faida za nyota yako kung'ara ni:
- Kuondoa mikosi.
- Kuongeza mvuto katika biashara na kazi.
- Kuongeza mvuto katika mapenzi.
- Kuongeza heshima katika jamii.
- kukuweka huru na mambo mabaya kama kurogwa na kufanyiwa fitna.
Endapo unahitaji kufahamu kama nyota yako inang'ara au imefifia, fuata hatua hizi:
Chukua glasi ya maji. Chukua karatasi, katika karatasi hiyo, toa vipande vinne vinavyolingana, chukua kipande kimoja, kisha andika maneno haya kwa herufi kubwa:
UGANGA WA KITABU NA MAJI: NAHITAJI KUFAHAMU KAMA NYOTA YANGU INANG'ARA, IMEFIFIA AU IMEPORWA.
Ikunje karatasi yako kisha tumbukiza katika glasi ya maji. Iweke glasi hiyo chini ya uvungu wa kitanda. Kama huna kitanda, iweke popote ambapo haitaonekana na watu wengine.
Ukiamka asubuhi, yamwage maji hayo na isafishe glasi yako.
Oga, vaa, vizuri, endelea na kazi zako.
Nyota yako inang’ara endapo ndani ya siku hiyo utapokea simu za watu watatu tofauti, na wote wakasema wamekupigia ili kukusalimia tu, nyota yako inang'ara wala huhitaji kuisafisha, endelea na kazi utafanikiwa.
Nyota yako inang’ara endapo ndani ya siku hiyo, utakutana na mtu mmoja tu akakuulizia njia ya kwenda sehemu fulani, nyota yako inang'ara wala huhitaji kuisafisha. (Zingatia kwamba, usijitegeshe kwa makusudi katika maeneo ambayo inafahamika lazima watu wakuulize njia, bali wewe endelea na shughuli zako na itokee ukiendelea na shughuli zako).
Nyota yako imefifia endapo hutapigiwa simu na watu watatu wakikusalimia, na wala hutakutana na mtu anayekuulizia njia, nyota yako imefifia. Fanya mpango wa kuisafisha.
Nyota yako imeporwa endapo: hukupigiwa simu, hukuulizwa njia badala yake nyumbani kwako atakuja mtu akaanzisha ugomvi na wewe. Pole sana mwanangu, huna nyota imeporwa na watu wabaya. Fanya matibabu ya kuirejesha.
Kwa msaada zaidi wasiliana nami hapa.