RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 109
- 373
🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo,
1. Wakati wa kukupa mimba.
2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu.
3. Wakati wa matunzo ya familia yenu kwa ujumla.
🔘 MWANAMKE MREMBO NA MWENYE KUJITAMBUA KWA AJILI YAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo....
1. Wakati wa kumuweka ndani (kuishi nae kama mke).
2. Wakati wa malezi ya mtoto/watoto wenu.
3. Wakati wa mipango yenu ya maisha na utekelezaji.
👁️ Huyo mwanaume/mwanamke anaweza kuwa ni huyo huyo uliyenaye sasahivi (kwenye mahusiano yenu ya kawaida) lakini kipimo cha uzuri, urembo, akili, na upendo halisi utakutana nacho kwenye nyakati hizo.
RIGHT MARKER
Dar es salaam.