Kipimo cha Kiongozi kisiasa ni midahalo

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,307
Kama tutakuwa na mifumo yakuwapitisha Viongozi wa ngazi za juu kutuongoza bila kuwa na mifumo ya kuwandaa kiuongozi ni kurudisha taifa nyuma.

Kumekuwa na kasumba ya vyama vya siasa kupachikana kwenye vyeo nyeti na muhimu kwa kutumia bidii ya ushiriki kwenye kampeni.

Katiba mpya iweke vipengele vya kuwa na midahalo ya wazi kupitia vyombo vya habari ili kuongeza uimara wakuwapata viongozi wanaosihili.
 
Kwa kweli midahalo ni muhimu sana, hata nchi kama Marekani wanaitilia mkazo sana midahalo kwa wagombea wa nafasi ya rais na makamu wake, yaani mtu hadi anakuwa rais hajafanya mdahalo hata mmoja!? mdahalo ndo unatoa fikra, falsafa, mtazamo wa kiongozi na kuelezea uwezo wake wa kuchanganua mambo mbalimbali kwa fikra pevu zilizoshiba mantiki, watu pia hupima IQ ya kiongozi kwa namna anavyo respond kwa maswali anayoulizwa na wanahabari nguli na wanataaluma waliobobea.
 
Uongozi sio somo la fasihi mpaka kuwekewa kigezo cha debate clubs. Uongozi ni karama itokayo kwa Mungu wa Mbinguni. Kama hiyo hunayo utaishia kuambatana na waganga na walozi tu. Tuliona hilo awamu flani ya uongozi hapo nyuma.
 
Bila midahalo uganga ni muhimu ili kupata kiongozi bora.
 
Kwa kweli midahalo ni muhimu sana, hata nchi kama Marekani wanaitilia mkazo sana midahalo kwa wagombea wa nafasi ya rais na makamu wake, yaani mtu hadi anakuwa rais hajafanya mdahalo hata mmoja!? mdahalo ndo unatoa fikra, falsafa, mtazamo wa kiongozi na kuelezea uwezo wake wa kuchanganua mambo mbalimbali kwa fikra pevu zilizoshiba mantiki, watu pia hupima IQ ya kiongozi kwa namna anavyo respond kwa maswali anayoulizwa na wanahabari nguli na wanataaluma waliobobea.
Kwa ule ushubwada wa mvaa shungi juzi alafu uweke mdaharo wa wazi mtamuua yule mama maana atapigwa spana na kumsagia kunguni mpaka akome hayo mambo CCM hawataki kuyasikia kwa sababu Mara nyingi ilani zao za uchaguzi hazina uhalisia na baadhi ya maeneo hayatekelezeki wao wanachojua ni kutumia polisi kutishia watu wanapohoji pia kutumia tume ya uchaguzi kufanya fitina
 
Huku hata mdahalo ukitokea maswali yataandaliwa na watakaouliza ni wanaccm tupu
 
Kwa ule ushubwada wa mvaa shungi juzi alafu uweke mdaharo wa wazi mtamuua yule mama maana atapigwa spana na kumsagia kunguni mpaka akome hayo mambo CCM hawataki kuyasikia kwa sababu Mara nyingi ilani zao za uchaguzi hazina uhalisia na baadhi ya maeneo hayatekelezeki wao wanachojua ni kutumia polisi kutishia watu wanapohoji pia kutumia tume ya uchaguzi kufanya fitina
CCM inajua viongozi wake wengi ni dhaifu sn
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Kwa kufanya maandamano kunavunja sheria ipi na je katiba hii mbovu inazuia maandamano? Kwaiyo kupinga matokeo ya uchaguzi ndio ugaidi?
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.

Pumba
 
Hao wafia CCM wakiongozwa na Makamba Mzee utawaua habari ya mdaharo tena.
Fundi ujenzi na kibarua huwa hawapimwi kwa midahalo Ni kwa kazi.Wape kazi ya kujenga ndipo utajua Nani fundi na Nani kibarua

Kwenye mdahalo kibarua aweza shinda kwenye kazi hawezi
 
Kama tutakuwa na mifumo yakuwapitisha Viongozi wa ngazi za juu kutuongoza bila kuwa na mifumo ya kuwandaa kiuongozi ni kurudisha taifa nyuma.

Kumekuwa na kasumba ya vyama vya siasa kupachikana kwenye vyeo nyeti na muhimu kwa kutumia bidii ya ushiriki kwenye kampeni.

Katiba mpya iweke vipengele vya kuwa na midahalo ya wazi kupitia vyombo vya habari ili kuongeza uimara wakuwapata viongozi wanaosihili.
Tuache kuwa na Fikra za Kuiga kila Kitu. Ni utafiti gani na wapi Political Scientists na Researchers wamethibitisha kuwa moja ya Kipimo kizuri na kikubwa cha Mtu kuwa Rais mzuri ni kupitia Kufanya Midahalo ya mara kwa mara? Tubadilikeni tafadhali.
 
Fundi ujenzi na kibarua huwa hawapimwi kwa midahalo Ni kwa kazi.Wape kazi ya kujenga ndipo utajua Nani fundi na Nani kibarua

Kwenye mdahalo kibarua aweza shinda kwenye kazi hawezi
siyo kila kazi uzipime kwa midahalo, zipo za kupimia midahalo zingine hapana.
 
Back
Top Bottom