Nimeshangaa ITV wanamuhoji mtu anafika katikati anasema sijaelewa swali halafu recording inarudiwa mpaka wakaona noma wakakatisha. Swali langu hivi unaanzaje kujibu swali usilolijua?
Na kumbe wanaojibu huwa wanapataga muda wakutoa majibu ambayo ni edit?
Aiseh nimechoka bila kufanya Kazi.