Kipigo cha F-35 za Israel husikika kama ndege zishajiondokea, hamna radar huzigundua

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,237
50,397
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
 
Hao jamaa kwa sasa wamewekeza bidii zote kuwataka mabikira 72 wa pepo ya Allah

Naona wameweka nguvu zote, sielewi pengine kumepigwa simu huko kuwajulisha kwamba, kuna hatari ya wao kukosa mabikira na hivyo wafanye juu chini ili waambulie 😂😂

Ila kuna ahadi zingine ni za kizembe sana aisee, zingine ahadi kama hizo, unaamua kuzikataa tu na kuzipuuza maana ni uwongo wa mchana kweupe kabisa
 
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
Yahudi AMEAHIDI KUIGEZA YEMEN KUWA KIFUSI KULIKO GAZA!
F35 ISHAFANYA VITU VYAKE!
👇👇
Middle East crisis live: Yemen’s Houthis pledge ‘huge’ response to Israel’s strike on port city Middle East crisis live: Yemen’s Houthis will not abide by any rules of engagement in continued attacks on Israel, group says
 
Israhell nje ya holiwudi yakawaida sana yaani
Bila shoga wenzie hata kujikuna kazi kwao
 
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
kwahiyo hii ndege ilitengenezwa ili itumike kupiga kwa kuvizia vizia ikiwa mambo magumu kwenye uwanja wa vita!!!

kweli wayahudi maji ya shingo...
 
Hakuna ndege isiyoonekana kwenye radar,f 35 siyo ndege ya kisasa,ni makopo ya siku nyingi tu
Etiee. Huo ubishi niliwasikia hata wa Houthis wakidai hivyo. Mtengenezaji ni Lockheed Martin's. Sasa ww nenda kamwambie ni makopo ya siku nyingi tu. Atakusikiliza, hanaga shida yule mzee.
 
kwahiyo hii ndege ilitengenezwa ili itumike kupiga kwa kuvizia vizia ikiwa mambo magumu kwenye uwanja wa vita!!!

kweli wayahudi maji ya shingo...
Lakini wamemwona m'Houthi na kumwadabisha mapema katika hatua za mwanzo. Yajayo yanafurahisha zaidi.
 
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi.

========================

The first of these advantages is stealth, the fact that radars find it very difficult to detect due to their structure and the materials it is coated with, which absorb most of their electromagnetic waves. An attacking F-35 will be detected much later than an F-15 or F-16, usually too late to respond. This is also important in the attack on Yemen, as the Houthis have already demonstrated that they possess anti-aircraft missile systems and have already shot down American UAVs.

610901
F35 ni za mmarekani na pamoja na kupewa silaha zote hizo uwezo wa vita ni mdogo sana kama hadi leo anahangaishana na mgambo wa hamas ambao wana silaha hafifu na kashikilia mateka wa kizayuni
Huku hezbollah kamkalia kooni na sasahivi mizigo inatua hadi tel aviv, hakuna mtalii ataenda tena
 
Lakini wamemwona m'Houthi na kumwadabisha mapema katika hatua za mwanzo. Yajayo yanafurahisha zaidi.
Mayahudi walifanya reconnaissance na kujua stronghold zote za mhouthi na hezbollah.
Wamezitandika ghala zote na kudisable bandari hana pa kuanzia.
Nilitegemea awe ameshusha kichapo cha hatari sana kwa mayahudi so far, kinyume chake anaziomba nchi zingine kushare naye kichapo.
 
Unamaanisha kwamba m'Houthi anaomba nchi zingine (esp. Kobaaz countries) zije kushare nao hicho kichapo? Hio sio karamu/sherehe na kila mmoja anakimbia kivyake. Wacha kidume atembeze kichapo.
 
Back
Top Bottom