Kwa kawaida maisha yanaenda kwa ushauri japo muda mwingine tunaishi kwa maamuzi magumu, kwangu mimi nimeamua kuelekea ualimu baada ya safari ndefu ya biashara na kujikusanyia kias kadhaa cha Tsh. Kuna hii kozi ya LABORATORY TECH ambayo ni ngazi ya Diploma, kiukweli nimejkuta naihtaj il naomba kwa anaejua kuhusu vyuo hivi ni kipi kitakua kzur.
-KOROGWE
-KLERUU
-MONDULI
-TABORA