MAMBO YA KUJARIBU JARIBU OVYO. Jamaa kanunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa, alipofika kwake akasema ngoja nikijaribu,
Akakivaa kwenye UUME
Akawasha kikawa kinamtekenya mpaka akamwaga shahawa,
Sasa anaangalia pakuzimia hapaoni, akaona namba ya kampuni akapiga cm akawauliza nizime wapi?
Wakamjbu
ikifika lita tano kitazima chenyewe!!
KICHEKESHO KINGINE
INBOX YA MDADA:
1. I luv u dear (Gerald).
2.Nikutoe out leo? (John)
3..Huwa inaniuma sana nikikuona na wanaume wengine (Mwambi)
4.. Sweetie usisahau. trip ya Bagamoyo, unambie nikupitie wapi (MD)
5..Darling, have you seen d credit I sent u?
(Mboss 1)
6..Honey najitahidi kukamilisha taratibu za kuleta posa nakupenda sana (Evans)
7. Helo jione kama umeshapata(Mheshimiwa 2)
8..Baby, check akaunti yako nimekuwekea kitu (Chairman)
INBOX YA MKAKA:
1..Salio lako halitoshi kukamilisha ombi lako (TIGO)
2..Ukinitumia txt nyingine namwambia rafiki yako (Jane)
3.Mwanaume gani unashindwa kutoa msaada (Patricia)
4..Unajifanya hupokei simu lakini wiki hii ni ya mwisho lipa kodi au utoke kwenye nyumba yangu(Baba mwenye nyumba)
5..Kaka nakutegemea ada (Jaki)
6..Mwanangu njaa inatuuwa usitusahau, Mungu akubariki(Mama)
7..Sijaziona siku zangu , napenda ujue hilo (Jirani House girl).
Ndio maana wanaume tunakufa mapema wadada mtatuuwaaa