toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,713
Huyu mtu anayeitwa Matata kipepeo jungu amekua maarufu sana hapa nchini, kwake ni Bahi dodoma
Ana mke wake konki sana huyu mama huuza maandazi ila hii familia ni maarufu sana
Ana binti yake pisi kali anaitwa Kirunguye
Jamani hii familia ni kina nani haswa?nauliza maana wamekua maarufu sana sasahivi