Kipato na Haki ya kupewa huduma Tanzania

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,268
2,310
Salam wanaboard..
Straight to the point:
Nimekuwa nikifuatilia sana matukio mbali2 nchini ki ukweli jambo lolote linalohusisha mtu wa kipato cha chini hata kiwe kinaumiza kwa kiwango kipi ataishia kulia tu.
Uonevu kwa watu wa kipato cha chini sasa umefikia kiwango cha hatari sana popote aendapo Hospitalini, shuleni, polisi, mahakamani ndo usiseme. Hii yote ni ukosefu wa taasisi mahususi. Mtu anaenda hospital kajifungua mapacha anafanyiwa uhuni, kaenda kulipoti polisi kaporwa kiwanja anazungukwa, anabambikiwa kesi tajiri kahonga unazama ndani, umepitisha muda wa kulipa kodi kwa mwenye nyumba unacho..yanayoendelea maeneo kuzunguka migodi, unyonyaji kwa wakulima (madalali) n.k
Kiufupi ni kuwa masikini hana chake asilani. Sometimes unaona jamaa kapakia maji kwenye toroli anapita bara2n mwenye gar anamfokea as if yy kajenga Barabara, machinga wanabomolewa na kunyanganywa Mali zao kila uchao.. Huyuhuyu anaombwa rushwa kila kona apate huduma.
Funzo: we will never get ride out of this tragedy without working hard to circumvent these phenomena.
NB: Nimeandika haya mara baada ya kushuhudia mmama akinyanyaswa na madaktari ka mtoto mdogo kisa elfu 10.ikabidi tujitose kumsaidia
God Bless Africa, God Bless Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…